Chanda na Pete

 

Je, ni kwa nini wahusika wakuu wana majina lukuki? Swali hili linajibiwa ipasavyo na hadithi Chanda na Pete. Vijana wa siku hizi wanajichagulia marafiki ambao wana mienendo na hulka njema. Wanaamini kuwa marafiki hawa wanachangia pakubwa katika kufanikisha maisha yao ya usoni. Hali hiyo haitofautiani kamwe na jinsi ilivyo katika hadithi hii.

 

You can purchase this book on Amazon or IngramSpark