Chura Mcheza Ngoma

 

Chura na Sungura ni marafiki. Lakini baada ya muda Chura anaanza kuona wivu. Anawatesa watoto wa Sungura. Sungura anakasirika na kumfukuza chura nyumbani mwake. Chura anafanya njama ya kuwaharibu mifugo wa Sungura. Anakuja mchana na kuwaongoza katika ngoma zinazowaacha wamechoka kupindukia. Sungura anafanya uchunguzi na kumpata mkorofi Chura katika mojawapo ya ngoma hizi. Chura anatoroka na kujitumbukiza kwenye maji, ambako anajificha mpaka wa leo.

 

You can purchase this book on Amazon or IngramSpark