Mulwa Afufuka

 

Jeneza lenye mwili wa Mulwa limeletwa mbele ya hadhira na kuwekwa jukwaani karibu na Pasta John. Ni kipi kitatokea? Soma mwenyewe upate uhondo. Edison Wanga ni mwalimu na mwandishi mzoefu. Amechapisha kazi kadhaa katika mashirika mbalimbali ya uchapishaji. Pia ameandika Mbio za Sakafuni ambacho kitachapishwa hivi karibuni na Phoenix Publishers Limited.

 

You can purchase this book on Amazon or IngramSpark