Tusome Familia Yangu

 

Baba, mama na mwana ni majina ya familia. Baba ni mzazi wa kiume. Mama ni mzazi wa kike. Je, utamwitaje ndugu wa kike? Je, utamwitaje ndugu wa kiume? Kitabu hiki kinafundisha majina ya familia. Familia huitwa ukoo. Familia ina majina mengi. Soma ujue majina ya familia yako.

 

You can purchase this book on IngramSpark