Zani na Zuma Mashakani

 

Mchezo wa kupata shabaha umepata umaarufu sana katika kijiji cha Chaka. Wakati huo huo, uwanja wa Shule ya Msingi ya Chaka umejaa mifugo na wachungaji, wanaokuja  uwalisha mifugo na pia kucheza mchezo huo. Je, mchezo huo utaleta mashaka? Je, ni kipi kinachowasukuma vijana kukiuka sheria za msitu? Na je, watapata adhabu gani kwa kuvunja sheria za msitu huo? Soma hadithi hii upate uhondo.

 

You can purchase this book on Amazon or IngramSpark