Chura na Mjusi

 

Chura na rafiki yake wanatayarisha karamu kwa marafiki wao. Lakini tamaa yake Chura yapita kiasi. Anajaribu hila ili aile minofu yote, lakini kitendo hiki kinaishia kumtia kwenye hatari. Nini kitaendela?

 

You can purchase this book on Amazon or IngramSpark