Harusi ya Panya

 

Kafiya ni panya mrembo sana na mwenye maringo mengi. Anawavutia jogoo, chura, mbwa, paka na panya jirani. Wanyama hawa wanang'ang'ania kumuoa lakini kwa sababu ya maringo yake Kafiya anawakataa baadhi yao ila tu mmoja. Je, ni nani atakayemuoa Kafiya? Je, ni nani atakayeunganisha ndoa yao? Soma hadithi hii ya Harusi ya Panya unufaike.

 

You can purchase this book on Amazon or IngramSpark