Jua na Upepo

 

Masimulizi haya ya kusisimua yameandikwa hasa kwa wanafunzi wa madarasa ya kwanza katika shule za Afrika Mashariki. Anne Matindi ambaye alikusanya hadithi hizi ambazo zilitolewa katika lugha ya Kiingereza mwanzoni na Fred Jim Mdoe ni mmojawapo wa mabibi wanaojishughulisha na uandishi wenye hadithi za kikwetu.

 

You can purchase this book on Amazon or IngramSpark