Jumamosi ya Mkosi

 

Kwa Bogonko na marafikize, Jumamosi ni siku ya malisho na michezo kochokocho. Lakini leo mambo yatakuwa tofauti. Jivumbulie mwenyewe kwa nini kwao hii itakuwa Jumamosi ya Mkosi.

 

You can purchase this book on Amazon or IngramSpark