Kaponea Chupuchupu

 

Bunduki yake Hassan Ngunda, mkuu wa walinda wanyamapori katika mbuga ya Tsavo Magharibi, imetoweka kiajabu kutoka chumba chake cha kulala. Wakati huo huo, mwanawe Fadhili haonekani. Ni kipi kimetokea? Msako mkali unaanzishwa, na punde si punde unawaelekeza polisi kwenye 'mwizi' wa bunduki pamoja na genge hatari la wawindaji haramu.

 

You can purchase this book on Amazon or IngramSpark