Kishu Kazi

 

Hadithi ya kwanza, Kishu kazi, inamhusu mkulima mwenye bidii, ambaye daima kisu kilikuwa hakimtoki kiunoni, na alipoulizwa, siku zote alijibu "Kishu kazi, kuna siku kindapata kazi." Hata ikawa amebandikwa jina 'Kishu Kazi'. Lakini siku alipovamiwa na wezi, ndipo walishuhudia kikifanya kazi kishu kazi.

Hadithi ya Sungura mjanja, kama jina linavyodokezea, inahusu sungura na jinsi anavyojishinda mwenyewe mwishowe kwa werevu wake wa kupindukia kiasi.

 

You can purchase this book on Amazon or IngramSpark