Mbweha Pacha

 

Ni tabia njema kuomba ruhusa kabla ya kuchukua kitu cha mtu. Mbweha pacha wanaona matunda, matango, katika shamba la mkulima. Mbweha hao wanachukua matunda hayo bila ruhusa ya mkulima. Je, unajua ni nani alifichulia mkulima kuwa mbweha pacha wameiba matunda yake? Je, mkulima alifanyaje mbweha pacha? Soma uburudike hadithi hii ya mbweha pacha na matango matatu.

 

You can purchase this book on Amazon or IngramSpark