Mfalme Chui Mkatili

 

Mfalme Chui hataki kufanya kazi kutafuta chakula. Anataka wanyama wawe wakijileta kwake ili awaue na kuwala. Wanyama wanapatwa na hofu kubwa. Halafu Nyani anatokea na mpango unaomfanya Chui kujiua. Hii ni hadithi ya kitamaduni ambayo imesimuliwa kwa njia ya kisasa na kufanyiwa michoro ambayo bila shaka itasaidia katika kuielewa.

 

You can purchase this book on Amazon or IngramSpark