Mfuko Wangu U Wapi?

 

Juma anataka kufanya kazi aliyopewa na mwalimu. Lakini mfuko uliokuwa na vitabu haupatikani. Anatafuta kila pembe haupati. Umepotelea wapi? Hiki ni kitabu cha kusisimua kusoma.

 

You can purchase this book on Amazon or IngramSpark