Mlima Kenya Kajifungua

 

Habari ziliponea kuwa Bi. Mlima Kenya anakaribia kujifungua, mbiu ilipigwa, na wanakijiji pamoja na wanyamapori wote wakakusanyika kushuhudia tokeo hilo mahsusi. Muda si muda wakati ukawadia; akajifungua. "Je, ni mwana gani huyo aliyezaliwa? Jisomeeni wenyewe hii hadithi ili mpate kutambua. Na zaidi ya hiyo, kunazo vilevile, hadithi nyingine sita: Karamu Ya Kujialika; Fisi tumboni mwa Tembo, Bidii ni Mali; Mama Mja Mzito na Jitu; Nani Mlaji Zaidi na Urafiki wa Unafiki.

 

You can purchase this book on Amazon or IngramSpark