Mto Usio na Chura

 

Wamuyu ni msichana aliyeokolewa na chura asiliwe na mazimwi. Kutokana na hilo, marafiki zake wanamtania, "chura alisema atakuja kukuoa". Kutokana na utani huo, Wamuyu anawachukia vyura wote. Wamuyu anafunga safari ya kuteka maji katika mto usio na vyura. Je, mto usio na vyura upo? Soma hadithi hii upate ukweli wake.

 

You can purchase this book on Amazon or IngramSpark