Mtoto Aliyetoweka

 

Wahalifu hodari Dani na Saki wanamteka nyara Komen kutokana na mpango wa Masha. Jambo hili linawatia wasiwasi wazazi wake Komen ambao wanajiingiza katika harakati za kumtafuta.

 

You can purchase this book on IngramSpark