Ngamia Mpole

 

Je, umewahi kubebwa na ngamia? Nani alikulipia pesa kwa mwenye ngamia ili akuruhusu ubebwe na ngamia wake? Je, ngamia huyo alikuchokoza? Ngamia ni mnyama mkubwa sana lakini mpole. Yeye hachokozi watu. Hadithi, 'Ngamia Mpole' inawahusu watoto wawili: Bonga na dada yake, Sakina, ambao walibebwa na ngamia wakafurahi sana. Hata hivyo, waliweza kuzungumza na ngamia huyo.

 

You can purchase this book on IngramSpark