Nyani Mdogo

 

Hii ni hadithi ya nyani mmoja mdogo ambaye aliuliza maswali mengi
na kutaka kujua mambo yote ya porini. Wanyama pori ni viumbe wa
kiasili, wasiofugwa wanaoishi kwa uhuru porini na wana asili ya
nchi unayoishi.

 

You can purchase this book on Amazon or IngramSpark