Pili Pilipili

 

Pili Pilipili ni paka mdaku. Hataki kuwakamata panya. Hataki kula nyama. Yake ni kula pilipili kali kila siku. Atafanywa nini aache udaku? Hiki ni kitabu cha kusisimua kusoma.

 

You can purchase this book on Amazon or IngramSpark