Siku na Miezi

 

Kitabu hiki kimeandikwa hususan kwa watoto ili kuwasaidia kwa matamshi na mtiririko wa maneno. Kinafunza siku za juma na miezi ya mwaka kupitia mashairi na uwiano wa mancno. Zaidi ya hayo, kinalenga ubwiji wa lugha na matamshi kupitia mbinu ya marudio.

 

You can purchase this book on Amazon or IngramSpark