Siri ya Sala

 

Ni wakati wa Mfalme Uju wa nchi ya Lembe kumwoza bintiye Fani. Ushindani wa uchumba ni baina ya Sungura na Kobe. Nani atalishinda pendo lake Fani? Ni mbinu gani atazitumia kufaulu? Chunguza kujua nini kinatokea.

 

You can purchase this book on Amazon or IngramSpark