Sokwe Shaka

 

Bwana Goran, mkewe Mei na mtoto wao Annelie wamekuja kuitembelea nchi ya Kajato kama watalii. Nia ya safari yao ni kujionea mbuga za wanyama za Kajato zinazosifika duniani kote. Lakini katika Mbuga ya Wenapasa watakutana na mnyama ambaye hawatamsahau. Shaka ni sokwe ambaye anawasisimua wote wanaoitembelea mbuga hii ya Wenapasa.

 

You can purchase this book on Amazon or IngramSpark