Sungura na binti Mfalme

 

Binti mfalme anatamani kuolewa na mume mwenye busara, werevu na ushujaa. Mtihani anaotakiwa kupita ni kunywa chungu cha maji yanayochemka. Vijana wengi wanajaribu lakini wanashindwa. Mpaka Sungura anapojitokeza na kujua jinsi ya kufanya hivyo.

 

You can purchase this book on Amazon or IngramSpark