Tusome Mavazi

 

Kuna mavazi mbalimbali. Jitazame. Umevaa mavazi gani? Soma kitabu hiki ujue majina ya mavazi mbalimbali. Yawe ni ya wakati wa baridi ama ya wakati wa joto. Kuna mavazi ya shambani na mavazi ya shuleni.

 

You can purchase this book on IngramSpark