Twende Safari Ziwani

 

Mzee Bakari ni mvuvi hodari. Anakumbana na samaki wa ajabu katika Ziwa Viktoria. Mvuvi huyu atamvua samaki huyo wa ajabu? Atamfanya kitoweo? Soma hadithi hii ya Twende Safari Ziwani ili upate uhondo.

 

You can purchase this book on Amazon or IngramSpark