Zawadi ya Rangi

 

Mvua inaponyesha watu wazima wanakimbia kuitoroka. Lakini kwa watoto wa kijiji, huu ni wakati wa furaha. Wanajitokeza kucheza na kuisifu mvua. Upinde wa mvua unavutiwa na kitendo chao na kuamua kuwapa zawadi ya rangi. Inanyesha mvua yenye rangi tofauti na kuleta

umaridadi ambao haujawahi kuonekana kijijini, jambo linalowaongezea watoto raha.

 

You can purchase this book on Amazon or IngramSpark